Baada ya kijiunga na kundi la TOT yalisemwa mengi sana juu yake lkn yeye mwenyewe kumbwa alilo sema'nanukuu " hajapotea njia na ameamua kwa hiyari yake mwenyewe na hajashawishiwa,na lengo la kuhamia huko ni kwaajili ya maslhi na kijitafutia maish,katika picha ambayo unaiona hapo juu mariamu ni wa kwanza kabisa,duniani tumekuja kutembe tu kila mtu ataonja mauti INNALILAHI WAINNA IAIHI RAJGHUUN>
MAMBO YA ZENJI
Monday, November 12, 2012
MARIAMU KHAMISI AFARIKI DUNIA.
Baada ya kijiunga na kundi la TOT yalisemwa mengi sana juu yake lkn yeye mwenyewe kumbwa alilo sema'nanukuu " hajapotea njia na ameamua kwa hiyari yake mwenyewe na hajashawishiwa,na lengo la kuhamia huko ni kwaajili ya maslhi na kijitafutia maish,katika picha ambayo unaiona hapo juu mariamu ni wa kwanza kabisa,duniani tumekuja kutembe tu kila mtu ataonja mauti INNALILAHI WAINNA IAIHI RAJGHUUN>
Friday, October 19, 2012
LULU AIBUKA NA SINGLE YAKE
Ni msanii mpya Lakini pia anafanya shughuli za utangazaji kupitia Safari Fm Mtwara Jina Halisi Zakia Lulu Jama Na Jina La Kisanii Ni ELLE,Ngoma yake hii mpya na ya Kwanza amemshirikisha kijana pia anechipukia kimuziki toka Mtwara Pia na Ngoma yenyewe hii imefanyika Mkoani Mtwara Na Producer Geoff Master.......Ni Zouk Moja Nzuri Na Tam Sana....Pata Muda Wa Kusikiliza Uone Utofauti
Amezaliwa August 31 Na ukitaka mengi zaidi kujua kutoka kwake mcheki katika Facebook (Lulu Jama)......
FURAHA YANGU YAGEUKA ZAWADI BABY J
WASANII WATATU AKIWEMO ALPHA KUTOKA JUPITER RECORDS, JOBFIRE KUTOKA MK
RECORDS NA ABRAMY KUTOKA APRISE MUSIC WAMEFANYA REMIX YA WIMBO WA BABY J FURAHA YANGU KAMA ZAWADI KWA MWANADADA HUYO AMBAYE KWA SASA ANATARAJIA KUINGIA KATIKA MAISHA YA NDOA.
WAMESEMA KWAMBA KUTOKANA NA KUZIKUBALI SANA KAZI ZA MWANADADA HUYO ANAYEFANYA POA KTK GAME LA MUZIKI WA KIZAZI
KIPYA WAMEPENDA KUMZAWADIA WIMBO HUO WA FURAHA YANGU KAMA KUMPONGEZA KWA MAAMUZI YA BUSARA ALIYOYAFANYA KWA KUAMUA KUWA TAYARI KUINGIA KATIKA HARAKATI ZA KUELEKEA KWENYE MAISHA YA MUME NA MKE JAMBO AMBALO NI LA BUSARA NA HEKIMA KTK MAISHA. WANAMTAKIA KILA LA KHERI MWANADADA JAMILA ABDALLAH A.K.A BABY J KTK SAFARI YAKE YA KUELEKEA KTK MAISHA YA NDOA. TUNAMPENDA SANA NA KUMJALI DADA YETU NA PIA TWAZIPENDA KAZI ZAKE.

MZIGO MPYA AACHIA QUEEN DARLEEN
Mwanadada Queen Darleen aachia Ngoma Mpya inaitwa
KOKORO......Imefanywa Na Producer Tuddy Thomas.....Video Inafanywa Wiki
Hii Na Adam Juma (Visual Lab Next Level)
Hii Ni Ngoma Yake Ya 5 Tokea Ameanza Kufanya Mziki Mwaka 2000 Ya Kwanza Ilikuwa Wajua Ft. Alikiba, Ya Pili Ilikuwa Cheza Nami Ft. Kgt, Ya 3 Ilikuwa Ilikuwa Kupendapenda Ft. Sho daddy, Ya 4 Ilikuwa Maneno Maneno Ft. Dully Sykes Na Ilifanikiwa Kuchukua Tuzo Ya Best Dancehall/Ragga Kupitia Kili Awardz 2011-2012 Na Kokoro Ndio Single Ya 5.

Thursday, September 6, 2012
MAANDALIZI YA SHOO YA ZANZIBAR STAZI KATIKA UKUMBI WA MAGEREZA ZANZIBAR.
Bahati haikua mbaya sana au nzuri katika ukumbi wa magereza ambapo hapo ndio ilikua maandalizi ya shoo nzuri kabisa ya zanziba stazi,sikua nyuma mtoto wa maalim kataka maandalizi hayo,kama unavyoona viti ambavyo waliandaliwa washabiki wa zanzibar staz. kunabaadhi ya picha ambazo nimekuekea za wasaniii tofauti tofauti ikiwemo ya zubeda mlamali na ahmed mgeni. nilibahatika kuzungumza na ahmedi mgeni kuhusu nyimbo yake ya sitetereki,kikubwa ambacho alizungumza ahmedi nikuhusu hiyo nyimbo kwamba ndiyo nyimbo yake ya kwanza kutunga katika tasnia ya muziki huu wa taarabu,katka nyimbo hiyo yanazumzwa mengi lkn yy anasema nimaisha ambayo yamemtokea yeye mwenyewe binafsi.
Shoo ilikua nzuri kiasi, kikubwa unachotakiwa nikuwapa saport yakutosha,endelea kfungua blog ya mambo ya zenji utapata kuyajua mengi.

Subscribe to:
Posts (Atom)